• HABARI MPYA

    Saturday, November 11, 2017

    GRIEZMANN AFUNGA BAO TAMU UFARANSA YAICHAPA 2-0 WALES

    Antoine Griezmann akijipinda kuifungia Ufaransa bao la kwanza dakika ya 18 Uwanja wa Stade de France mjini Paris katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Wales kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana. Bao la pili lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GRIEZMANN AFUNGA BAO TAMU UFARANSA YAICHAPA 2-0 WALES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top