Mshambuliaji Sadio Mane akiruka kichwa cha mkizi kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 22 katika sare ya 3-3 na wenyeji, Sevilla katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Roberto Firmino dakika ya pili na ya 30, wakati ya Sevilla yalifungwa na Wissam Ben Yedder dakika ya 51 na 60 kwa penalti na Guido Pizarro dakika ya 90 na ushei. Kwa sare hiyo, Liverpool wanalazimika kushinda mechi ya mwisho dhidi ya Spartak Moscow wiki mbili zijazo ili kuingia hatua mtoano, vinginevyo wataangukia Europa League PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The Knicks won the NBA Cup without a hero, and that should frighten the
league
-
New York's NBA Cup win revealed a roster that doesn't rely on individual
brilliance, and that balance might just be its most dangerous weapon.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment