• HABARI MPYA

  Wednesday, November 22, 2017

  TOTTENHAM YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ULAYA, YAIPIGA DORTMUND 2-1

  Harry Kane akisherehekea baada ya kuifungia Tottenham bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Borussia Dortmund usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Bao la pili la Spurs lilifungwa na Son Heung-Min dakika ya 76, wakati la Borussia Dortmund lilifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TOTTENHAM YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ULAYA, YAIPIGA DORTMUND 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top