• HABARI MPYA

    Wednesday, November 01, 2017

    KUPATWA KWA MESSI BARCELONA IKITOA SARE 0-0 UGIRIKI

    Lionel Messi akishangaa wakati anakaribiwa na shabiki aliyevamia Uwanja wa Georgios Karaiskaki mjini Pireas, Piraeus nchini Ugiriki wakati wa mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Olympiacos uliomalizika kwa sare ya 0-0. Shabiki huyo alimkumbatia Messi na kukata kiu yake PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KUPATWA KWA MESSI BARCELONA IKITOA SARE 0-0 UGIRIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top