• HABARI MPYA

  Wednesday, November 01, 2017

  HIGUAIN AINUSURU JUVE KUPIGWA URENO, SARE 1-1 NA SPORTING

  Gonzalo Higuain akiifungia Juventus bao la kusawazisha dakika ya 79 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Sporting Lisbon kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade mjini Lisbon, Ureno. Sporting Lisbon walitangulia kwa bao la Bruno Cesar dakika ya 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HIGUAIN AINUSURU JUVE KUPIGWA URENO, SARE 1-1 NA SPORTING Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top