• HABARI MPYA

  Friday, November 03, 2017

  EVRA AMTANDIKA TEKE LA KUNG-FU SHABIKI WA MARSEILLE

  Beki wa Marseille, Patrice Evra akimpiga tege shabiki wa timu yake aliyemtolea 'maneno ya shombo' wakati wa mazoezi ya awali kabla ya mchezo wa Kundi I Europa League usiku wa jana Uwanja wa Dom Afonso Henriques mjini Guimaraes. Evra aliyekuwa aanzie benchi alitolewa kwa kadi nyekundu na timu yake ikaenda kuchapwa 1-0, bao pekee la Paolo Hurtado dakika ya 80 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVRA AMTANDIKA TEKE LA KUNG-FU SHABIKI WA MARSEILLE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top