• HABARI MPYA

  Friday, November 03, 2017

  ARSENAL YAFUZU HATUA MTOANO EUROPA LEAGUE

  Kiungo chipukizi wa Arsenal, Reiss Nelson akimtoka mshambuliaji Mserbia wa Red Star Belgrade, Nemanja Radonjic (kushoto) katika mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates, timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana. Pamoja na matokeo hayo, Arsenal imefuzu hatua ya mtoano kwa kufikisha pointi 10, ikiwazidi kwa pointi tano Crvena Zvezda zikiwa zimebaki mechi mbili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAFUZU HATUA MTOANO EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top