• HABARI MPYA

    Wednesday, November 01, 2017

    CHELSEA WACHEZEA 3-0 KWA ROMA ITALIA

    Kiungo wa Roma, Kevin Strootman akimuacha chini kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Roma katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Roma ilishinda 3-0, mabao ya Stephan El Shaarawy mawili dakika ya kwanza na 36 na Diego Perotti dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA WACHEZEA 3-0 KWA ROMA ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top