• HABARI MPYA

  Wednesday, November 01, 2017

  BAYERN MUNICH YASHINDA UGENINI, YAILAZA CELTIC 2-1

  Kiungo wa Bayern Munich, Arturo Vidal akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Nahodha wa Celtic, Scott Brown katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya jana usiku Uwanja wa Celtic Park mjini Glasgow, Scotland. Bayern Munich ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Kingsley Coman dakika ya 22 and Javi Martinez dakika ya 77, wakati la Celtic lilifungwa na Callum McGregor dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YASHINDA UGENINI, YAILAZA CELTIC 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top