Daley Blind akipongezwa na wachezaji wenzake wa Manchester United, Scott McTominay (kulia) na mshambuliaji Romelu Lukaku (kushoto), baada ya kufunga kwa bao la pili kwa penalti 78 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Benfica kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza Benfica walijifunga kupitia kwa kipa wao, Mile Svilar dakika ya 45 kufuatia shuti la Nemanja Matic PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment