• HABARI MPYA

  Sunday, November 12, 2017

  AGUERO AFUNGA DAKIKA ZA MWISHONI ARGENTINA YAILAZA 1-0 URUSI

  Sergio Aguero akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Argentina bao pekee dakika ya 86 ikishinda 1-0 dhidi ya wenyeji, Urusi usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki Luzhniki mjini Moscow katika mchezo wa kirafiki PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA DAKIKA ZA MWISHONI ARGENTINA YAILAZA 1-0 URUSI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top