• HABARI MPYA

  Tuesday, March 21, 2017

  RONALDO MWANASOKA BORA WA MWAKA URENO

  Cristino Ronaldo (katikati) akiwa na Ricardo Quaresma na Joao Moutinho wakati wa kupokea tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ureno usiku wa jana mjini Lisbon, Ureno. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 amewashinda mchezaji wenzake wa Real Madrid, Pepe na kipa wa Sporting Lisbon, Rui Patricio kupata tuzo hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO MWANASOKA BORA WA MWAKA URENO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top