• HABARI MPYA

  Saturday, March 18, 2017

  REAL MADRID YAENDELEZA VIPIGO LA LIGA, BILBAO WAFA 2-1 SAN MAMES

  Cristiano Ronaldo akimpongeza Casemiro baada ya kuifungia Mbrazil huyo kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 68 ikiilaza 2-1 Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa San Mames Barria, Bilbao. Karim Benzema alianza kuifungia timu ya kocha Mfaransa, Zinadine Zidane dakika ya 25, kabla ya Aritz Adruriz kuwasawazishia wenyeji dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAENDELEZA VIPIGO LA LIGA, BILBAO WAFA 2-1 SAN MAMES Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top