• HABARI MPYA

  Saturday, March 18, 2017

  LEICESTER YAENDELEA KUTOA VIPIGO, YAICHAPA 3-2 WEST HAM

  Winga wa Leicester City, Riyad Mahrez akijaribu kuwapita wachezaji wa West Ham leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Leicester imeshinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Mahrez dakika ya tano, Robert Huth dakika ya saba na Jamie Vardy dakika ya 38, wakati ya wenyeji yalifungwa na Manuel Lanzini dakika ya 20 na Andre Ayew dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER YAENDELEA KUTOA VIPIGO, YAICHAPA 3-2 WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top