• HABARI MPYA

    Friday, March 17, 2017

    PLUIJM ASAINI MIAKA MIWILI KUFUNDISHA SINGIDA UNITED

    Mholanzi, Hans van der Pluijm (kulia) akisaini Mkataba wa miaka miwili kufundisha timu mpya ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Singida United leo mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mahusiano wa timu hiyo, Sanga Festo
    Sanga Festo na Hans van der Pluijm walipotiliana saini leo. Singida imejihakikishia kucheza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
    Katibu wa Singida United, Abdulrahman Salum Sima (kulia) akimkabidhi Pluijm jezi ye Singida United yenye jina lake baada ya kusiani mkataba wa miaka miwili 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PLUIJM ASAINI MIAKA MIWILI KUFUNDISHA SINGIDA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top