• HABARI MPYA

  Friday, March 17, 2017

  MSAFARA ULIOFANIKISHA ZANZIBAR KUPEWA UANACHAMA CAF WAREJEA

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wa Habari leo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam baada ya kuwasili kutokea Addis Ababa, Ethiopia ambakojana Zanzibar ilipewa uanamacha wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF)
   Rais wa zamani wa TFF, Said El Maamry akizungumzia Zanzibar kupewa uanachama wa CAF 
  Malinzi (kulia) akipongezwa kwa jitihada zake kufanikisha Zanzibar kupewa uanachama wa FIFA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSAFARA ULIOFANIKISHA ZANZIBAR KUPEWA UANACHAMA CAF WAREJEA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top