• HABARI MPYA

  Friday, March 17, 2017

  YANGA WALIVYOKAMUA UWANJA WA MASHUJAA LEO KABLA YA KIPUTE NA ZANACO KESHO

  Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi Uwanja wa Taifa wa Mashujaa mjini Lusaka, Zambia leo kujiandaa na mchezo wa marudiano hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Zanaco kesho kwenye jioni Uwanja huo huo. Mechi ya kwanza Jumamosi iliyopita Dar es Salaam timu hizo zilitoka sare ya 1-1 
  Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' (kushoto) akifurahia wakati wa mazoezi hayo
  Yanga inahitaji ushindi katika mchezo wa ugenini kesho ili kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa
  Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi (kushoto) akipiga picha na Kocha Mkuu, George Lwandamina (katikati) 
  Maofisa wa bechi la Ufundi wakitazama mazoezi hayo leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOKAMUA UWANJA WA MASHUJAA LEO KABLA YA KIPUTE NA ZANACO KESHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top