• HABARI MPYA

    Saturday, March 18, 2017

    LWANDAMINA SI WA MCHEZO MCHEZO, CHEKI NDINGA LAKE HILI HAPA!

    Gari binafsi ya kocha wa Yanga, George Lwandamina ikimpeleka Uwanja wa Taifa wa Mashujaa mjini Lusaka Mzambia huyo kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Zanaco jioni ya leo. Lwandamina amekuwa akitumia gari hiyo tangu amefika hapa juzi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LWANDAMINA SI WA MCHEZO MCHEZO, CHEKI NDINGA LAKE HILI HAPA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top