• HABARI MPYA

  Saturday, March 18, 2017

  CHELSEA YAZIDI KUPAA LIGI KUU ENGLAND, SASA POINTI 13 ZAIDI

  Gary Cahill (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 87 ikiwafunga wenyeji, Stoke City 2-1 Uwanja wa Bet365 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England na kupaa kileleni kwa pointi 13 zaidi. Willian alianza kuifungia Chelsea dakika ya 13, kabla ya Jonathan Walters kuisawazishia Stoke kwa penalti dakika ya 38, kufuatia Cahill kucheza faulo kwenye boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAZIDI KUPAA LIGI KUU ENGLAND, SASA POINTI 13 ZAIDI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top