• HABARI MPYA

  Saturday, March 04, 2017

  BENZEMA APIGA MBILI REAL YAUA 4-1 NA KUREJEA KILELENI LA LIGA

  Karim Benzema (kushoto) akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 14 na 25 katika ushindi wa 4-1 wa Real Madrid leo Uwanja wa Bernabeu dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yamefungwa na James Rodriguez dakika ya 29 na Marco Asensio dakika ya 60, wakati la wageni lilifungwa na Ruben Pena dakika ya 72 na kwa ushindi huo timu ya kocha Zinadine Zidane inarejea kileleni mwa Liga ikifikisha pointi 59 baada ya kucheza mechi 25, mbele ya Barcelona wenye pointi 57 za mechi 25 pia, ambao baadaye watacheza mechi ya 26 dhidi ya Celta de Vigo  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA MBILI REAL YAUA 4-1 NA KUREJEA KILELENI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top