• HABARI MPYA

  Saturday, March 04, 2017

  LEICESTER CITY YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI BILA RANIERI

  Danny Drinkwater akimuinua juu Riyad Mahrez baada ya kufunga bao la pili dakika ya 59 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Hull City leo Uwanja wa King Power katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Leicester yalifungwa na Christian Fuchs dakika ya 27 na Tom Huddlestone aliyejifunga dakika ya 90, wakati la Hull lilifungwa na Sam Clucas dakika ya 14. Huu ni ushindi wa pili mfululizo tangu imfukuze kocha Claudio Ranieri ikiwa chini ya kocha wa muda, Craig Shakespeare PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI BILA RANIERI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top