• HABARI MPYA

  Thursday, March 02, 2017

  BARCELONA YAUA 6-1 LA LIGA, MESSI, SUAREZ NA NEYMAR WOTE WAFUNGA

  Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtungua kipa wa Sporting Gijon, Ivan Cuellar kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya tisa katika ushindi wa 6-1 kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Juan Rodriguez aliyejifunga dakika ya 11, Luis Suarez dakika ya 27, Francisco 'Paco' Alcacer dakika ya 49, Neymar Junior dakika ya 65 na Ivan Rakitic dakika ya 87, wakati la Sporting Gijon lilifungwa na Carlos Castro García dakika ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAUA 6-1 LA LIGA, MESSI, SUAREZ NA NEYMAR WOTE WAFUNGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top