• HABARI MPYA

  Saturday, March 18, 2017

  AUBAMEYANG APIGA BAO PEKEE, DORTMUND YANG'ARA BUNDESLIGA

  Pierre-Emerick Aubameyang akibinuka sarakasi kushangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund bao pekee dakika ya 14 Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund usiku wa jana katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ingolstadt katika mchezo wa Bundesliga PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG APIGA BAO PEKEE, DORTMUND YANG'ARA BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top