• HABARI MPYA

  Monday, November 07, 2016

  SIMBA NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA DAR

  Winga wa Simba, Shizza Kichuya (kulia) akipiga mpira huku beki wa African Lyon, Hassan Isihaka akijaribu kuzuia katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Lyon ilishinda 1-0
  Beki wa African Lyon, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiambaa na mpira pembezoni mwa Uwanja
  Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin akiwatoka wachezaji wa African Lyon jana
  Fundi wa mpira, Ibrahim Hajib Migomba kwa utashi wako ukipenda muite Cadabra (kulia) akimuacha chini beki wa Lyon, Hamad Manzi jana
  Jonas Mkude, Nahodha wa Simba SC akimgeuza kiungo wa Lyon, Khalfan Twenye  
  Shizza Kichuya (kulia) akijivuta kupiga shuti mbele ya Hassan Isihaka
  Beki wa African Lyon, Hamad Waziri (kulia) akimzuia beki wa Simba, Method Mwanjali
  Kipa wa African Lyon, Rostand Youthe akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Laudit mavugo
  Kikosi ch Simba kilichoweka rekodi ya kupoteza mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu jana baada ya mechi 14 
  Kikosi cha Prisons kilichovunja rekodi mbili za Simba jana, nyavu kutoguswa katika mechi sita na kufungwa mechi ya kwanza ya Ligi Kuu jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA AFRICAN LYON KATIKA PICHA JANA DAR Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top