Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Monday, November 07, 2016

  YANGA NA PRISONS KATIKA PICHA JANA SOKOINE

  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akimtoka Nahodha wa Prisons, Benjamin Asukile katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Yanga ilishinda 1-0  
  Wachezaji wa Yanga, Obrey Chirwa (kulia) na Deus Kaseke (kushoto) wakimuacha chini mchezaji wa Prisons
  Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Prisons, Salum Kimenya 
  Mshambuliaji Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa (kushoto) akipambana na Lambert Sabiyanka wa Prisons
  Haruna Niyonzima akimtoka Mohaammed Samatta jana Uwanja wa Sokoine  
  Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Simon Msuva (kulia) akimtoka beki wa Prisons, James Mwasote
  Wachezaji wa Prisons na Yanga wakiwania mpira wa juu
  Refa akiwaondoa wachezaji wa Yanga waliomfuata kulalamikia jambo kwake
  Kikosi cha Yanga jana katika mchezo uliokuwa wa vuta nikuvute
  Kikosi cha Prisons katika mchezo wa jana Uwanja wa Sokoine
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: YANGA NA PRISONS KATIKA PICHA JANA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top