• HABARI MPYA

  Monday, November 14, 2016

  RONALDO AFUNGA MAWILI, AKOSA PENALTI URENO YAUA 4-1

  Mshambuliaji wa Urenom Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Latvia kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Kombe la Dunia 3018 Urusi. Pamoja na kufunga mabao mawili moja kwa penalti, Ronaldo pia alikosa penalti wakati mabao mengine ya Ureno yalifungwa na William Carvalho na Bruno Alves wakati la Latvia lilifungwa na Arturs Zjuzins  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MAWILI, AKOSA PENALTI URENO YAUA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top