• HABARI MPYA

  Monday, November 14, 2016

  ROBBEN AFUNGA LA KWANZA, MENGINE DEPAY UHOLANZI YASHINDA 3-1

  Winga mwenye umri wa miaka 32 wa Bayern Munich, Arjen Robben akimtungua kipa Ralph Schon wa Luxembourg kuifungia Uholanzi bao la kwanza katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi Uwanja wa Josy Barthel  mjini Luxembourg. Mabao mengine ya Uholanzi yote yalifungwa na Memphis Depay, wakati la Luxembourg lilifungwa na Maxime Chanot kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROBBEN AFUNGA LA KWANZA, MENGINE DEPAY UHOLANZI YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top