• HABARI MPYA

  Monday, November 14, 2016

  UBELGIJI YAUA 8-1 HAZARD NA LUKAKU WOTE WAFUNGA MAWILI MAWILI

  Mshambuliaji Romelu Lukaku (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake wa Ubelgiji ushindi wa 8-1 dhidi ya Estonia katika mchezo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussells). Mabao ya Ubelgiji yaalifungwa na Meunier dakika ya nane, Mertens matatu dakika za 16, 64 na 68, Hazard dakika ya 25, Carrasco dakika ya 62 na Lukaku mawili dakika za 83 na 88 wakati la Estonia la kufutia machozi lilifungwa na Henri Anier dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UBELGIJI YAUA 8-1 HAZARD NA LUKAKU WOTE WAFUNGA MAWILI MAWILI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top