• HABARI MPYA

  Monday, December 14, 2015

  YANGA SC WALIVYOPASHA LEO GARANOSI KUJIANDAA DHIDI YA AFRICAN SPORTS

  Kocha wa Yanga SC, Mholanzi, Hans van der Pluijm akimpa mazoezi mepesi mshambuliaji wake, Donald Ngoma aliyekuwa majeruhi leo kwenye Uwanja wa sekondari ya Garanosi mjini Tanga wakati wakijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji African Sports keshokutwa Uwanja wa Mkwakwani mjini humo
  Kutoka kulia Deus Kaseke, Matheo Anthony na Vincent Bossou
  Simon Msuva (katikati) akimlamba chenga Vincent Bossou (kushoto)
  Kutoka kulia Amissi Tambwe, Bossou, Mbuyu Twite, Kevin Yondan na wengine
  Wachezaji wa Yanga wakikimbia kwa pamoja katika mazoezi ya awali ya kuamsha misuli
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOPASHA LEO GARANOSI KUJIANDAA DHIDI YA AFRICAN SPORTS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top