• HABARI MPYA

  Tuesday, December 15, 2015

  KOZI YA GRASSROOTS ILIVYOFUNGWA LEO DAR

  Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine (katikati ya walioketi) akiwa na washiriki wa kozi ya ngazi ya chini (Grassroots) wakati wa hafla fupi ya kuifunga leo nje ya ukumbi wa mikutano wa shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOZI YA GRASSROOTS ILIVYOFUNGWA LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top