• HABARI MPYA

    Tuesday, September 01, 2015

    VICTOR MOSES ASAINI MIAKA MINNE CHELSEA NA KUPELEKWA 'KUGONGA NYUNDO' WEST HAM

    WINGA wa kimataifa wa Nigeria, Victor Moses amesaini Mkataba mpya wa miaka minne kuendelea kuichezea Chelsea na kutolewa kwa mkopo wa muda mrefu wa msimu kwenda West Ham. 
    Moses ambaye amekuwa jana nafasi tangu asajiliwe Stamford Bridge baada ya kucheza kwa mkopo msimu uliopita Stoke City na kabla ya hapo alipelekwa kwa mkopo Liverpool.
    Lakini winga huyo amesaini Mkataba mpya The Blues na sasa atakwedna kucheza tena kwa mkopo The Hammers kuendelea kukusanya uzoefu wa Ligi Kuu.
    West Ham imekamilisha uhamisho wa mkopo wa muda mrefu wa msimu wa Mnigeria Victor Moses PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VICTOR MOSES ASAINI MIAKA MINNE CHELSEA NA KUPELEKWA 'KUGONGA NYUNDO' WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top