• HABARI MPYA

    Saturday, September 19, 2015

    REAL MADRID YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LA LIGA, YAICHAPA1-0 GRANADA

    Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (kulia) akinyoosha mguu kuuwahi mpira dhidi ya David Rodriguez Lomban wa Granada katika mchezo wa La Liga usiku huu. Real imeshinda 1-0, bao pekee la Karim Benzema PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LA LIGA, YAICHAPA1-0 GRANADA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top