• HABARI MPYA

  Sunday, September 27, 2015

  CHELSEA YABANWA NA NEWCASTLE, SARE 2-2 ST JAMES PARK

  Kiungo wa Chelsea, Pedro (katikati) akiinua mguu kupiga mpira dhidi ya wachezaji wa Newcastle katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi Uwanja wa St James Park. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2, mabao ya Newcastle yakifungwa na Ayoze Perez na Georginio Wijnaldum, wakati ya Chelsea yalifungwa na Ramires na Willian PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YABANWA NA NEWCASTLE, SARE 2-2 ST JAMES PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top