• HABARI MPYA

  Monday, September 21, 2015

  LIVYOPOOL ILIVYOKABWA KOO ANFIELD LEO...

  Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge (kulia) akitafuta maarifa ya kumtoka mchezaji wa Norwich katika mchezo wa Ligi Kuu ya Engand Jumapili Uwanja wa Anfield. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, bao la Liverpool likifungwa na Danny Ings na Norwich likifungwa na Russell Martin  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVYOPOOL ILIVYOKABWA KOO ANFIELD LEO... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top