Safu ya ulinzi ya Yanga SC, kutoka kulia Nahodha, Nadir Haroub 'Cannavaro', Thabani Kamusoko, Mbuyu Twite, Kevin Yondan na Mwinyi Mngwali wakijadiliana wakati wa mapumziko mafupi ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-0 |
0 comments:
Post a Comment