Toby Alderweireld akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la ushindi dakika ya 81 ikiwalaza Arsenal 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Arsenal ilitangulia kwa bao la Alexandre Lacazette dakika ya 16, kabla ya Son Heung-Min kuisawazishia Tottenham dakika ya 19 na kwa ushindi huo, Spurs inafikisha pointi 52 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya nane, sasa ikiwazidi The Gunners pointi mbili baada ya timu zote kucheza mechi 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bournemouth 'agree short-term contract with free agent Jack Wilshere'
-
The former Arsenal midfielder, who left West Ham earlier this season, has
been training with the Cherries in recent weeks and has impressed manager
Jason T...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment