• HABARI MPYA

  Sunday, July 26, 2020

  MAN UNTED YAIPIGA LEICESTER 2-0 KING POWER NA KUFUZU LIGI YA MABINGWA

  Wachezaji wa Manchester United wakipongezana baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Leicester City leo kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power, mabao ya Bruno Fernandes kwa penalti dakika ya 71 na Jesse Lingard dakika ya 90 hivyo kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya msmu ujao. 
  Kwa ushindi huo, Manchester United imefikisha pointi 66 na kumaliza nafas ya tatu ikiwazidi wastani wa mabao tu Chelsea na ikizidiwa pointi 15 na mahasimu wao wa Jiji, Manchester City waliomaliza nafasi ya pili nyuma ya mabingwa, Liverpool wenye pointi 99, wakati Leicester City inabaki na pointi zake 62, hivyo kumaliza nafasi ya tano, nyuma ya Chelsea yenye pointi 66 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNTED YAIPIGA LEICESTER 2-0 KING POWER NA KUFUZU LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top