Mason Greenwood akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 51 ikitoa sare ya 1-1 na West Ham United iliyotangulia kwa bao la Michail Antonio kwa penalti dakika ya 45 na ushei katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Sare hiyo inaifanya Manchester United ifikishe pointi 63 na kupanda hadi nafasi ya tatu sasa ikiizidi wastani wa mabao tu Chelsea inayoangukia nafasi ya nne baada ya timu zote kucheza mechi 37, wakati West Ham United inafikisha pointi 38 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment