Wachezaji wa Arsenal wakishangilia ushindi wa 2-1 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 32 na Reiss Nelson dakika ya 44 baada ya Sadio Mane kuanza kuifungia Liverpool dakika ya 20. Arsenal inafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 36 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya tisa, wakati Liverpool tayari mabingwa wanabaki na pointi zao 93 za mechi 36 sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Burnley vs Manchester City - Premier League LIVE: Latest score and updates
as Erling Haaland opens the scoring just FIVE minutes into Turf Moor clash
as Pep Guardiola's side look to leapfrog Arsenal in title race
-
Follow Daily Mail Sport's live blog for the latest score, team news and
updates as Burnley host Manchester City at Turf Moor.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment