• HABARI MPYA

    Sunday, July 12, 2020

    MEDDIE KAGERE ALIVYO FITI NA TAYARI KABISA KUELEKEA MCHEZO WA LEO DHIDI YA MAHASIMU, YANGA SC

    Mshambuliaji kinara wa mabao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Meddie akimtoka beki Erasto Nyoni kwenye mazoezi ya Simba SC jana kujiandaa na mchezo dhidi ya watani wa jadi, Yanga SC jioni ya leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam   
    Kiungo Msudan, Sharaf Eldin Shiboub (kushoto) akiwa na mshambuliaji chipukizi, Miraj Athumani 'Madenge' 
    Miraj Athumani 'Madenge' anaonekana kuwa fiti mno kuelekea mchezo wa leo 
    Kiungo kutoka Msumbiji, Luis Miquissone akiwa mwenye furaha mazoezini
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MEDDIE KAGERE ALIVYO FITI NA TAYARI KABISA KUELEKEA MCHEZO WA LEO DHIDI YA MAHASIMU, YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top