• HABARI MPYA

  Sunday, July 19, 2020

  ANTHONY JOSHUA NA TYSON FURY WAKITETA JUU YA PAMBANO LAO

  Bingwa wa WBA, WBO na IBF, Anthony Joshua (kulia) akizungumza na bingwa wa WBC, Tyson Fury (kwenye gari kushoto) baada ya mabondia hao wa uzito wa juu kukutana Marbella, Hispania ambako wababe hao wa Uingereza wamekwenda mapumzikoni huku kukiwa na tetesi za pambano bana yao 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANTHONY JOSHUA NA TYSON FURY WAKITETA JUU YA PAMBANO LAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top