Kevin de Bruyne akishangilia na David Silva (kushoto) baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika ya 45 na 90 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Norwich City ambao tayari wameshuka daraja kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Manchester City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 11, Raheem Sterling dakika ya 79 na Riyad Mahrez dakika ya 83 na kwa ushindi huo, timu ya Pep Guardiola inamaliza na pointi 81 katika nafasi ya pili, ikizidiwa pointi 18 na mabingwa, Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Burnley vs Manchester City - Premier League LIVE: Latest score and updates
as Erling Haaland opens the scoring just FIVE minutes into Turf Moor clash
as Pep Guardiola's side look to leapfrog Arsenal in title race
-
Follow Daily Mail Sport's live blog for the latest score, team news and
updates as Burnley host Manchester City at Turf Moor.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment