Raheem Sterling (kushoto) akipongezwa na mwenzake baada ya kuifungia Manchester City mabao matatu dakika za 21,53 na 81 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa AMEX. Mabao mengine ya Manchester City yalifungwa na Gabriel Jesus dakika ya 44 na Bernardo Silva dakika ya 56 na kwa ushindi huo, kikosi cha Pep Guardiola kinafikisha pointi 72 na kuendelea kukamata nafasi ya pili, nyuma ya mabingwa tayari, Liverpool wenye pointi 93 baada ya wote kucheza mechi 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
TyTy Washington Decommitted from Creighton Due to McDermott's 'Plantation' Comment
-
TyTy Washington is one of the most highly-sought after recruits in the 2021
recruiting cycle, but there was a time he was headed to Creighton. He told
<a...
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment