Nahodha Sergio Ramos akikimbia kishujaa kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid kwa penalti dakika ya 79 kufuatia Dani Carvajal kuangushwa na Mathias Olivera kwenye boksi katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Getafe kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stéfano. Kwa ushindi huo, Real Madrid wanafikisha pointi 74 sasa wakiwazidi pointi nne, mabingwa watetezi, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 33, wakati Getafe inabaki nafasi ya sita na pointi zake 52 za mechi 33 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Shetland man's lucky escape after drone attacks in Iraq
-
Oil worker Ross Slater said the drones landed metres from his accommodation
but failed to explode
13 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment