• HABARI MPYA

  Friday, July 03, 2020

  SIMBA SC WAWASILI MTWARA TAYARI KUWAVAA NDANDA SC KWENYE MECHI YA LIG KUU JUMAPILI NANGWANDA

  Mshambuliaji Mganda wa Simba SC, Meddie Kagere akishangiliwa na mashabiki baada ya timu kuwasili Mtwara leo kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Ndanda SC Jumapil Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini humo 
  Kiungo Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama akishangiliwa na mashabiki baada ya timu kuwasili Mtwara leo 
  Kiungo kutoka Msumbiji, Luis Miquisone akipenya kwenye umat wa mashabiki baada ya timu kuwasili Mtwara leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAWASILI MTWARA TAYARI KUWAVAA NDANDA SC KWENYE MECHI YA LIG KUU JUMAPILI NANGWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top