• HABARI MPYA

  Thursday, July 02, 2020

  BERNARD MORRISON AKIWA MAZOEZINI NA KIKOSI CHA YANGA SC LEO KUELEKEA MECHI NA SIMBA SC JULAI 12

  Kiungo mshambuliaji Mghana, Bernard Morrison akiwa mazoezini na klabu yake, Yanga SC kuelekea mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Julai 12 Jijini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BERNARD MORRISON AKIWA MAZOEZINI NA KIKOSI CHA YANGA SC LEO KUELEKEA MECHI NA SIMBA SC JULAI 12 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top