Kocha Suleiman Abdallah Matola akiwa kwenye mazoezi ya Simba SC leo mjini Dar es Salaam baada ya kujiunga tena na timu hiyo kama Kocha Msaidizi akitokea Polisi Tanzania
Suleiman Matola ni kiungo na Nahodha wa zamani wa Simba SC, ambaye amewahi kuwa kocha wa timu ya vijana ya klabu hiyo na Kocha Msaidizi wa kikosi cha kwanza pia

0 comments:
Post a Comment