• HABARI MPYA

    Sunday, December 08, 2019

    MAREHEMU TIGANA NA NONDA KIKOSINI YANGA SC 1995 MWANZA

    Kikosi cha Yanga SC mwaka 1995 wakati wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kutoka kulia waliosimama ni Sadiki Kalokola, James Tungaraza (marehemu), Bitumba Iyela, Ally Yussuf ‘Tigana’ (marehemu), Sylvatus Ibrahm ‘Polisi’, Nonda Shabani, Reuben Mgaza na Mahmoud Nyalusi (marehemu).
    Waliochuchumaa kutoka kulia ni Benny Luoga (marehemu), Salvatory Edward, Mohammed Hussein ‘Mmachinga’, David Mjanja, Stephen Nyenge, Bakari Malima na Mzee Abdallah.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAREHEMU TIGANA NA NONDA KIKOSINI YANGA SC 1995 MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top