• HABARI MPYA

  Sunday, December 08, 2019

  SANCHO APIGA MBILI DORTMUND YASHINDA 5-0 BUNDESLIGA

  Jadon Sancho akishangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao mawili dakika ya 63 na 74 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Fortuna Dusseldorf kwenye mchezo wa Bundesliga jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Mabao mengine yalifungwa na Marco Reus mawili pia dakika za 42 na 70 na Thorgan Hazard dakka ya 58 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHO APIGA MBILI DORTMUND YASHINDA 5-0 BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top