• HABARI MPYA

  Sunday, November 04, 2018

  MORATA AFUNGA MAWILI CHELSEA YAIPIGA 3-1 CRYSTAL PALACE DARAJANI

  Alvaro Morata akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 32 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London leo. Morata pia alifunga bao la pili dakika ya 65 kabla ya Mspaniola mwenzake, Pedro kufunga la tatu dakika ya 70, wakati bao la Palace limefungwa na Andros Townsend dakika ya 53 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MORATA AFUNGA MAWILI CHELSEA YAIPIGA 3-1 CRYSTAL PALACE DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top